12/08/2026
Aki, there’s God in heaven. 🙏🏽
This is Mercy Karimi a mother of four. Alikuwa na biashara ya kuuza manguo hapa Nairobi, but when COVID came, the business went down. Her husband died, she fell into depression, and she eventually ended up on the streets. For the last five good years, amekuwa akikaa kwa streets k**a chokora.
In June hii mwaka while she was looking for food kwa dustbin ya hoteli, manager wa iyo hoteli alikuja na sanitizer akamumwagia jicho moja. Hiyo jicho ikaanza kuharibika, ilikuwa inatoa usaha na inanuka vibaya sana. Akajaribu kwenda hosi but she was turned away because she had no money and was being told yeye ni chokora. She ended up living with the damaged eye for one month until it deteriorated completely.
Then, while Mosiria was going about his work in town, wananchi walimueleza kuhusu huyo mwanamke. Akaenda akamchukua na kumpeleka hospitali, hata k**a alikuwa amekataa kupelekwa hospitali. Due to prolonged substance use on the streets and depression, kichwa yake ilikuwa imeathirika sana. Mosiria alimpeleka rehab, na sasa amekuwa huko for two months. Mosiria amekuwa akimtembelea, akimnunulia nguo na dawa, na kuhakikisha anapata the support she needs.
Mosiria amesema atahakikisha akitoka hapa amuunganishe na familia yake na pia amsaidie kupata kazi ili aweze kuanza maisha upya.
This is good, kazi Safi sana from Katibu Geoffrey Mosiria. 🙏🏽❤️