Mawiddy 254

Mawiddy 254 Mawiddy 254 a musician by profession an passion an loving it . 23 year old boy from Baringo county .
(54)

Talent manager✅
internet📌STRATEGIST🎖
KIBAO+📺🎥💯FEABANKS🏦
🌐💰CEO💛EXTRIX.KIBAO.COM 󱢏
😂✨ ENGAGEMENT🌟ROYALS👁️‍🗨️👀✨👑
🪪🦁🥈🎖️🎖️🎖️🎖️🎖️📊
(Bringing the ARTS KIBAO in 2 A+ COMPETITIVE Distribution)
📚(MEDLEY)🛡️🔏🇰🇪
PUBLIC REFEREE🎖️👑🥰 Like to prosper an spread my ability to public is my biggest dream of my life

13/07/2026
🤣😅k**a Kuna kitu nimeogopa sasa ni stima uuuweeehhhh......haikua rahisi mtuyangu.....mambo ilikua live Yani dakika Moja ...
13/07/2026

🤣😅k**a Kuna kitu nimeogopa sasa ni stima uuuweeehhhh......
haikua rahisi mtuyangu.....
mambo ilikua live Yani dakika Moja pekee ilitosha kuichoma kabisa.
Nilipea k**e flani lift roho safi...though mpka kwa mlango nimeandikiwa "STRICTLY NO UNAUTHORISED PASSENGERS"..Kama kawaida nilijaribu kurusha lines zikagonga mwamba "I have my man..." kidogo kidogo ka video call, k**e inaexplain vile imekosa transport ikapanda tulela🚛🤣...eti "see the kind hearted driver amenihelp, say hi please " ...camera kugeuzwa....Ni boss!

Mwanamke anayefanya kazi ya kuandaa maiti kabla ya mazishi, anayejulikana kwa jina la Mary, nchini Ghana amefunguka kuwa...
12/07/2026

Mwanamke anayefanya kazi ya kuandaa maiti kabla ya mazishi, anayejulikana kwa jina la Mary, nchini Ghana amefunguka kuwa anapata furaha sana akisikia mtu amefariki.

Kauli hii anaifafanua kuwa misiba ndio humpa kipato yeye kutokana na kazi yake ya kuosha maiti hivyo kifo hukisubiria kwa hamu; akisikia maiti mpya imefika mezani kwake hufurahia.

Mwenyewe anasema ameshazika mama yake, mdogo wake na wote hao amewaandaa yeye..

Je, una neno gani kwa Mary?

😭😭Ata k**a mtoto sio wako ukiona mzazi wake afanyi poa muambie tu hii kitu sio fitty.🥺🥺🥺watoto wanaona shida uku inje wa...
11/07/2026

😭😭Ata k**a mtoto sio wako ukiona mzazi wake afanyi poa muambie tu hii kitu sio fitty.
🥺🥺🥺watoto wanaona shida uku inje walai .
This is Prince from Asembokiswaro staying with the uncle and the auntie while the mother is in Nairobi working/has neglected the child.
The child undergoes thorough beatings from the guardians and lacks proper feeding 🥲🥲
We are calling out the children department of Rarieda Education Support Action Group - RESA
CHILDREN RIGHTS ADVOCACY

11/07/2026

k**a Kuna kitu kimenikwaza Yani Shemeji yangu amekataa kunifulia na tulipeana mahari Yote bila balance😔😔 aki nimesinyika leo

Address

Extrix KIBAO
Baringo
22043

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mawiddy 254 posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Mawiddy 254:

Shortcuts

Share

Category