06/05/2026
Kwa machungu waliimba, kwa uchungu walipaza sauti… 🕊️
Barabara za Kilifi zilisikika nduru za huzuni, nyimbo za maumivu zikitawala anga.
Leo hawakusimamishwa na yeyote—sauti ya wananchi ilisimama imara kudai haki. ✊🔥
Miss Malindi Kenya Malindi show biz